MAKALA YA 3 Karibu katika Makala yenye kuelimisha mambo muhimu kuhusiana na ujenzi wa Majengo. Leo,tutaangazia juu ya DAMPNESS/Unyevu katika jengo. Hili ni jambo linalokumba Majengo nchi nzima. 1.Dampness/ Unyevu jengoni: Hii ni hali ya ambayo sehemu za jengo huonekana na hali ya kulowana au...