africana mtwys Senior Member Joined May 8, 2013 Posts 173 Reaction score 23 Jun 16, 2013 #1 Mtoto wangu ana umri wa miaka 2 na miezi saba,siku mbili zilizopita ameanza kuwa na kigugumizi kikali sana akiwa anaongea. Naomba ushauri wako dr
Mtoto wangu ana umri wa miaka 2 na miezi saba,siku mbili zilizopita ameanza kuwa na kigugumizi kikali sana akiwa anaongea. Naomba ushauri wako dr
ram JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 9,326 Reaction score 8,505 Jun 17, 2013 #2 Subiri wanakuja, Ila nakushauri pekua pekua humu humu jf doctor, kuna thread inayohusiana na kigugumizi haina hata muda mrefu tangu imejadiliwa inaweza kukusaidia pia
Subiri wanakuja, Ila nakushauri pekua pekua humu humu jf doctor, kuna thread inayohusiana na kigugumizi haina hata muda mrefu tangu imejadiliwa inaweza kukusaidia pia