Naomba ushauri wako dr

Naomba ushauri wako dr

africana mtwys

Senior Member
Joined
May 8, 2013
Posts
173
Reaction score
23
Mtoto wangu ana umri wa miaka 2 na miezi saba,siku mbili zilizopita ameanza kuwa na kigugumizi kikali sana akiwa anaongea.
Naomba ushauri wako dr
 
Subiri wanakuja,
Ila nakushauri pekua pekua humu humu jf doctor, kuna thread inayohusiana na kigugumizi haina hata muda mrefu tangu imejadiliwa inaweza kukusaidia pia
 
Back
Top Bottom