dogo bongo hapa kwa sasa procurement hiko juu, asikwambie mtu. nakushauri ukasome hiyo manunuzi prokyuament, mana sio vyuo vingi vinafundisha hiyo. pia ukiangalia hata serikialini wametilia mkazo swala la procurement.
nikwambie dogo, baf , bcom, bachelor of accounting, ni kitu kimoja kuna maelfu na maelfu ya watu katika field hizo. pia kutoka katika field hiyo ni kujuana au kama wewe ni kichwa kweli. kichwa cha kupata first class au upper second kali ambazo hizo ni za ma TOOO. KASOME MANUNUZI MDOGO WANGU ,USIJE UKATUSUMBUA MTAANI HELA YA KULA