Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lenu vijana ni kwamba nyote by instinct ni mafisadi hata kama post zenu nyingi hapa ni za kulaani mafisadi. Mnalaani kwa vile hamjapata nafasi ya kuingia lakini malengo yenu ni kujiunga katika kundi la mafisadi. Financial sector hapa Tz ni kubwa na inaendelea kukuwa na kuwa diversified. Kwa hiyo kama unayo BAF 'worth the salt' prospect ni nyingi. Lakini ni sector inayoangalia vichwa siyo makaratsi.dogo bongo hapa kwa sasa procurement hiko juu, asikwambie mtu. nakushauri ukasome hiyo manunuzi prokyuament, mana sio vyuo vingi vinafundisha hiyo. pia ukiangalia hata serikialini wametilia mkazo swala la procurement.
nikwambie dogo, baf , bcom, bachelor of accounting, ni kitu kimoja kuna maelfu na maelfu ya watu katika field hizo. pia kutoka katika field hiyo ni kujuana au kama wewe ni kichwa kweli. kichwa cha kupata first class au upper second kali ambazo hizo ni za ma TOOO. KASOME MANUNUZI MDOGO WANGU ,USIJE UKATUSUMBUA MTAANI HELA YA KULA