jaman mim mtaimbo wang unasimama dakika chache na kusinyaa kwa muda mfupi tu, hata kama nina demu bado hali ni hiyo hiyo. jamani nisaidie hali hii inasababshwa na nini? na nifanye nini kuondoa hali hii?
Kama umeshawahi kuwa memba wa punyetto hiyo ni athari moja wapo, kama si hivyo, huenda ukawa na matatizo ya kisaikolojia tu,lakini bado hujachelewa nenda hospitali watakutibu.
Kama umeshawahi kuwa memba wa punyetto hiyo ni athari moja wapo, kama si hivyo, huenda ukawa na matatizo ya kisaikolojia tu,lakini bado hujachelewa nenda hospitali watakutibu.
pia kama mpenzi wako ni mwelewa jaribuni kufanya mapenzi mara kwa mara inaweza pia kurudisha hali yako ya kawaida,kadri siku zinavyokwenda utakuwa una improve taratibu.