sabanga sent
Member
- May 25, 2013
- 25
- 3
jaman mim mtaimbo wang unasimama dakika chache na kusinyaa kwa muda mfupi tu, hata kama nina demu bado hali ni hiyo hiyo. jamani nisaidie hali hii inasababshwa na nini? na nifanye nini kuondoa hali hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umeshawahi kuwa memba wa punyetto hiyo ni athari moja wapo, kama si hivyo, huenda ukawa na matatizo ya kisaikolojia tu,lakini bado hujachelewa nenda hospitali watakutibu.