anamaanisha project. vipi unaweza kumpa musaada wa mutaji?. hata ushauli utatosha.Muladi ni aina ya dawa au mbolea?
anamaanisha project. vipi unaweza kumpa musaada wa mutaji?. hata ushauli utatosha.
Jamaa mbishi sana 4m inaweza lima heka 4 za matikiti kimasikini na ukapata super profit
Ndugu yangu kama garama zingekuwa kubwa hivi wakulima wasingekuwepo huu mchanfanuo umeufanya kishule shule zaidi na sio kuhalisia .
Kiuhalisia garama ya eka 2 ni laki sita tu hadi unavuna.ukiondoa garama za usafirishaji hadi sokoni kwani unaweza kuuzuia shambani.
Mimi nimelima eka 1 Ruvu nimetumia laki 3 ila ya mvua za masika