Naomba ushauri wenu juu ya mambo haya, maana mwenyewe imefika mahali nimeanza kukata tamaa

Mkuu matajiri wa forex wataanza kuinekana baada ya miaka 5. Achana na huyo mbishi, watu wanafikiri forex ni sawa na kulima tembele, kwamba leo unapanda baada ya wiki 2 unaanza kuchuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani jamaa unamjaza mwenzako na yeye anajaa ujue.
Mbinguni huendi.

Huyo atakuwa ndio yule tapeli aliyempiga mil1 kwa ahadi ya kumpatia job jeshini
 
Dah pole sana mkuu. Mi imani yangu inaniambia wanaofanikiwa zaidi kwenye forex ni wale wasiotumia pesa za mawazo, ukiwa na biashara zako kadhaa zinazunguka then ukakomaa na forex inaweza kuwa rahisi kumake kuliko upo na forex only ndo utokee hapo hapo lazima utapoteza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu pole sana, hii biashara bwana usipokua makini unaweza kuwehuka....
 
Mkuu ninazo biashara zinazoniingizia kipato cha kununua ninachotaka. Hiyo forex mtu anapoteza 70M, 20M, 10M acheni masihara na pesa, pesa inataka heshima. Usiinvest pesa kwa jambo ambalo hulifahamu.
Sent using Fly in any Weather.
CASH MONEY FOREVER hawa watoto wanaotaka mihela ya ndotoni huwa natamani nikawapige hawaelewiwanaweza iba mipesa ofisini yote akayaingiza kwenye Internet
 
nakubaliana na wew asilimia nyingi wanataka wafanye forex tu wanasahau kama wakipata faida inawabidi wafanye na biashara nyingine wanaishia kueka lot tembo kinachuwakuta ni kuchoma account na kutumia lot sisimizii😀😀😀
 
Aina noma mzee kuna mwanangu jina nae juma mpemba nilipig nae pande za IFM pale yupo TRA biaramlo bukoba now.angecheka sana kuona kijana wake majanga yameniandama.
Kijana wa Simkoko pole sn....Mzava akiiona hii atasikitika sana
 
Mkuu ka pitie trading psychology.Tamaa inakuponza.Na kwa namna unayopoteza pesa kwa staili ile ile kila mara inamaanisa hujifunzi kutokana na makosa yako kwenye market.
By the way wekeza sehemu nyingine pia usiegemee fx tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeanza kusikia forex since 2017 nikazama quora nione majibu yaliyotolewa kutokana na maswali kuhusu forex nikaona negative answers nyingi Sana jibu la kawaida ilikua ni so difficult na is not easy hapa ndipo nikapata jibu Kama watu wanaoshi huko globalization iliko anzia wanasema ngumu sasa inakuaje kwa sisi watu walimwengu wa tatu jibu ikawa ni ngumu. Sasa kwa mm maoni kwa vijana wenzangu mm naona mda ambao watu wanautumia kusoma forex na pesa zinazopotea kwenye hii ishu zinaweza kugeuzwa kuwa kitu kikubwa ambacho kinashikika kinarithishika kinasomeka lakini forex ina scam nyingi. Mm naona biashara ni nyingi mno hata humuhumu mtandaoni fursa ni nyingi Sana ukiachana na hii inayowapa vijana matumaini makubwa kumbe ngumu hatari. Pamoja na hayo kutegemea Sana biashara za mitandaoni kuwa first priority ni utumwa. Mungu ametupa aridhi ya kutosha kuna milima, mabonde, tambarale na inaweza kufanyia shughuli kibao hata simu tunazo tumia zinatoka aridhini Sasa kwanini tuone kuwa fursa ni mpaka tununue bidhaa nakuwapa pesa watu wengine kizembezembe nakati unaweza tengeneza Cha kwako ambacho kinarithishika
 
Umeandika vyema...Mimi pia siifaamu FOREX Ila kila nikitaka nijifunze Kuna Roho inaniambia kua Makini na Mshahara wako wa kila mwezi unaoupokea....
Negative Comments zimekua nyingi kuliko Positive feedback.
 
Rudia biashara zako za mwanzo,utatoka tu,hii ya forex achana nayo
 
 
Shida yako kubwa unafanya forex kama chakula, change habit zako ili upunguze risk plus tafuta issue nyingine ya kufanya forex iwe namba mbili ikiwezekana tatu, nenda ata kalime afu forex ufanye ukiwa na shughuli nyingine maalumu. Utanishukuru badae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…