Naomba ushauri wenu wadau.

official_seph

Member
Joined
Jan 13, 2018
Posts
5
Reaction score
3
Ebu Tuambiane ukweli katika hili please!!
Upo home unaishi na wazazi pamoja na
dada yako,
sasa dem wako anakwambia bwana
nataka nije kwenu alafu ukicheki home msala kwa wazazi sasa unampanga dadaako kwamba awadanganye wazazi
kama atakuja rafiki yake (dem wako)
atakaa home kwenu kama wiki
moja.Dadaako anakubali ombi lako, kweli
dem anakuja halafu usiku anakuja kulala chumbani kwako bila wazazi kujua. mpaka wiki inaisha anaondoka
home huku wazazi wakijua alikuwa rafiki
wa dada ako.

[emoji117]Sasa baada ya siku mbili dadaako nae
anakwambia ana bwana ake anataka kuja nawe ujifanye rafiki yako alafu usiku kama kawa anaingia geto kwa sista!
Ungekubali?
Naomba jibu tafadhali.
 
1- haikubaliki.
2- ni utoto huo.
3- dada yko ataanzaje kukuambia upuuz huo?.
4- ...................
5- ...................
 
Ata kama ni story me nakushauri uondoke kwenu pumbaf!
 
Wapo wengi wanaofanya hivyo kwa wanume kumpanga dadake, ila kwa mwanamke ikitokea dume linaanza kunoa panga mapema.
 
Kafue boxer ukakojoe ulale mtoto huna adabu wewe kuingia humu jf
 
Unaomba ushauri wewe au nani, though kastori kako ni ka wahenga lakini sidhani kama wewe ndo imekutokea hii kitu and don't tell me aseeπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚

ungepeleka kule jukwaa la vichekeshoo tukachekee kuleπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…