Naomba ushauri wenu wana jf plz

Duh wewe unabidi ufanye maamuzi ya maana cost analysis ni muhimu alafu huyo ni mtoto wa Dr.Kawa mbwa angalia ndugu.
 

Ok Asante,hapana si mm
 
"Acha tamaa ya ngono mkuu! Chagua yule unayehisi atakufaa maishani na huyo mwingine mflash out. Tatizo ww unataka kushindana na uliko toka."

Sina tamaa ya ngono hata kidogo kaka ,hapana na hata sishindani na niliko toka,ok asante kwa ushauri wako
 
mkuu unajua jf kuna watu wazima wana mabint wapo secondary na wewe unakuja kutaka ushauri jinsi ya kuchakachua...

ushauri wangu achana na mabint wa secondary .. muache asome tell her ana future ya ku take care mapenzi asubiri kwanza ....

ok nimekuelewa,lakini kikubwa ukweli na mapenzi hayachagui kikubwa pia malengo
 
Aisee ni kweli Malova ,asante
 

Ni kweli,ngoja asome ntamuweka wazi zaidi
 

Asante sana nimekuelewa vizuri sana ,ni kweli ulisemalo tena sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…