Naomba ushauri wenu wana jf plz

Naomba ushauri wenu wana jf plz

Duh wewe unabidi ufanye maamuzi ya maana cost analysis ni muhimu alafu huyo ni mtoto wa Dr.Kawa mbwa angalia ndugu.
 
Frank,pole sana kwa yanayokusibu. Wakati unajibu ujumbe uliopewa hapa, angalia chini ya huo ujumbe na bofya 'reply' kama unatumia mobile, ama kama unatumia laptop au computer pc bofya palipoandikwa 'quote'
Pili, sio ww last week ulikua unasema umesaga soli miaka 3 na bado unaambiwa 'tuwe marafiki tu'? Kama sio ww niwie radhi in advance.

Ok Asante,hapana si mm
 
"Acha tamaa ya ngono mkuu! Chagua yule unayehisi atakufaa maishani na huyo mwingine mflash out. Tatizo ww unataka kushindana na uliko toka."

Sina tamaa ya ngono hata kidogo kaka ,hapana na hata sishindani na niliko toka,ok asante kwa ushauri wako
 
mkuu unajua jf kuna watu wazima wana mabint wapo secondary na wewe unakuja kutaka ushauri jinsi ya kuchakachua...

ushauri wangu achana na mabint wa secondary .. muache asome tell her ana future ya ku take care mapenzi asubiri kwanza ....

ok nimekuelewa,lakini kikubwa ukweli na mapenzi hayachagui kikubwa pia malengo
 
bro, inabidi ifanye kiasi kwamba hakuna atayedhurika. wewe, wa sasa na wa zamani. mwambie wa zamani umemsamehe na umuambie kwamba akaze buti kimasomo kwanza akimaliza mambo yataendelea. wa sasa umuweke kiasi kwamba asiweze kuwa na direct link na wazamani. kwasababu wasichana walivyo unaweza mwambia lakini nae akatafuta namna ya kukutana au kuwasiliana nae. katika hilo simu ni hatari kuwa makini nayo.
Aisee ni kweli Malova ,asante
 
mwambie tu ss kitamuuma then kitaisha, maadam ulishaanza mahuziano na mtu mwingine na mnapendana, maana badae utamwumiza huyu mpya na kuweka doa kwenye penzi lenu, il a kama mapenzi yako yote yako kwa huyo wa zamamni basi huna budi kumwamia huyo mpya kabisa ili asije gundua mwenyewe na kukuchukia milele yake

Ni kweli,ngoja asome ntamuweka wazi zaidi
 
Unajua bro ama dogo umekosea kumpenda huyu mdada ni mdogo kiukweli japo mapenzi hayana hilo..she must be 18 or 20..sababu yake haikuwa ya maana inaonekana kama alipata mtu akadhani wa maana halafu akajagundua kama hana future ndio maana akaamua kurudi tena kwa zamani..otherwise uwe umehakikisha sbbu aloitoa inaukweli fulani..kuwa makini na wanawake wa umr huo bado hawajatulia kwa ukweli...

Asante sana nimekuelewa vizuri sana ,ni kweli ulisemalo tena sana
 
Back
Top Bottom