Naomba ushauri wenu wapendwa.

Naomba ushauri wenu wapendwa.

Asante sana kaka ninasali na ninaamini mungu atanisaidia na kunipa nguvu, mniombee pia.
 
Ni kweli kabisa coz huyu kaka ni mojawapo ya makabila yanayofatila sana mambo ya mila, ila yeye kwa unafiki wake anajifanya coz amesoma awezi kukubaliana na wazazi wake..... bado ananisumbua sana na jana ameniomba nimpe anothr chance japo atoe wazo kwangu....
 
Thanx sana ila ki ukweli bado maamuzi yangu anayapinga sana na ataki tukae mbali anazidi kuni kaba eti mm bado still ananipenda......
 
Sisy LD asante sana naamini ki ukweli mungu anampango na haya yote yaliyotekea, najipa moyo na mungu anisaidie.....
 
@ Washawasha asante sana kama ilivyo kawaida ya mapenzi ukishampenda mtu huwezi kulivua pendo kwa mara moja na isitoshe yeye ananipenda siwezi kujua kama ni unafki au ni kweli ila mm bado ni binti najiuliza je nitaweza kuishi na mke mwenza? na mm nina kazi yule aliyeyelazimishwa hana kazi na hana ata elimu? anakataa katu katu kwamba hakumkubali yule binti na anadai mpaka sasa kuna ugomvi na familia yake kwa ajili ya hayo mambo.....
 
Thanx @ Wakumwitru tatizo moja kubwa sana mm nimeshaamua kumuacha na kujitahidi kuvumila hayo yaliyotokea ila tunafanya kazi copany na ofis moja kila ninapomuona naumia na anazidi kunishawishi eti tufanye mabo yetu kama yalivyokuwa yamepangwa....
 
Thyanx Zasasule ila mapenzi yanaumiza sana laiti angekua mbali na mm ningepona haraka maumivu ya moyo wangu....
 
Ni kweli Da Lizy yani ata mm nashindwa kumuelewa kabisa, jana ameniambia kuwa nimpe nafasi ya yy kujieleza kwangu coz ajam accept yule bint aliyeletewa, jamani bado ananisumbua na isitoshe tunafanya wote kazi na tupo ofis moja, Uhusianao wetu mpaka maboss wlikua wanafaham na tatizo limetokea wameshafaham nimewaomba japo wamuamishe ofis ili nifanaye kazi kwa amani, yeye ameambia na boss kuwa anatakiwa kuama ofis kwa ajili ya hayo mabo ila yeye amewaambia He still ove me na ajamuoa wala kumkubali yule binti, ananiomba nimpe muda ili tukienda off tupite kwao wote....nifanyeje? na anadai kwamba ata wazai wasipokubaliana na ss tutaoana na kuishi ss kama ss na wazazi hawatakua na nafasii ya kutujenga wala kutubomoa coz kajnega mbali na home kwao na maisha yetu pia tumepanga kujenga mji tofauti na huo wao.... anataka nimwambie anaifanyie nn ili nimuamini na nirudishe moyo kwake....

Da Lizy its pain so much..
 
Thanx mo Town, kiukweli mm nilishaamua kuachanana nae ila ananiambia kuwa ajamkubali huyo mwanamke ananiomba sana nitulize moyo na nimuamini maana mapenzi ni ya wawil na si ya wazazi, ananimbia eti mke anayependwa na wazazi huwa hawadumu na yeye aanauamuzi wake, nifanyeje ananisumbua kwa sababu tupo ofis moja..
 
Kweli Babu Lao mm nimebaki njia panda bado ananisumbua sana na kuniambia hajakubali uamuzi wa wazazi...
 
Ni kweli Da Michelle yani ata mm nashindwa kumuelewa kabisa, jana ameniambia kuwa nimpe nafasi ya yy kujieleza kwangu coz ajam accept yule bint aliyeletewa, jamani bado ananisumbua na isitoshe tunafanya wote kazi na tupo ofis moja, Uhusianao wetu mpaka maboss wlikua wanafaham na tatizo limetokea wameshafaham nimewaomba japo wamuamishe ofis ili nifanaye kazi kwa amani, yeye ameambia na boss kuwa anatakiwa kuama ofis kwa ajili ya hayo mabo ila yeye amewaambia He still ove me na ajamuoa wala kumkubali yule binti, ananiomba nimpe muda ili tukienda off tupite kwao wote....nifanyeje? na anadai kwamba ata wazai wasipokubaliana na ss tutaoana na kuishi ss kama ss na wazazi hawatakua na nafasii ya kutujenga wala kutubomoa coz kajnega mbali na home kwao na maisha yetu pia tumepanga kujenga mji tofauti na huo wao.... anataka nimwambie anaifanyie nn ili nimuamini na nirudishe moyo kwake....
 
Muombe Mungu sana,ikibidi FUNGA..usiishi maisha ya worries kwasababu ya mtu,kama angekupenda angechagua,wangapi wamegombana na wazazi wao kisa wake zao?they believed in themselves..huyo ndo mwanaume,sio yule anaepelekwa kama mbayumbayu!
Inaonesha hata maamuzi hana(from what you have said)..and huko ukweni kama hawakupendi,ungeishije?(in a family context)..
Just be patient my dear,and pray hard!.Lastly,have some self dignity,he is married..respect that too.
BUT THE DESICION IS YOURS!
 
Mh!! pole sana najua itakuuma but unahitaji kuchukua maamuzi magumu sasa ,yaani achana na huyu jamaa kwanza inaonekana ni mtu asiye na maamuzi au kuweza kujisimamia mwenyewe.Mtu anaekupenda angekueleza process zote A-Z na msimamo wake na sio kona kona.So hayo uliyoyaona yanatosha usingoje kuona mengine usije juta mbele ya safari wakati nafasi unayo sasa ya kupanga future yako.Kumbuka ndoa sio kitu cha kujaribisha if you are not sure na unachokifanya.:wink2:
 
nani mwenye kosa hapa, kijana, wazazi wa kijana, binti? Sielewi
 
Binafc cyapendi mapenzi coz ni kizunguzungu.
Jamani vp DENA AMSI bdo yuko BAN?Nimemc kweli.
 
Back
Top Bottom