lakini kaka unashida gani wakati hiyo avatar yako tu hapo ni usafiri tosha usiokuwa na presha ya kupanda kwa mafuta??Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo, nimelazimika kuacha kutumia gari langu binafsi kwasasa natumia daladala tuu. Nasikia kwamba gari usipoitumia mda mrefu injini huaribika sijabahatika kupata maelezo ya kiufundi inakuwaje, naomba mwenye ujuzi katika hili anipe maelezo ya kisayansi, kwasababu gari yangu naipenda sana sitaki kuiuza nataka niipaki mpaka siku mafuta yatakaposhuka bei. Na kwa wataalamu wa uchumi naombeni mnishauri kama hii subira yangu itawezekana au lah! maana kuna mtu amenikatisha sana tamaa kwamba haiwezekani mafuta kushuka bei.
Serious!!!
Ushauri: CHAGUA CCM 2015 ILI ISHUSHE BEI YA MAFUTA
ulianza vizuuuuuriii..ila hapa
ndo ukatapika!! pole sana..
Hah! Hah! Ha! Mafuta hayawezi kushuka bei mkuu, hata kama hapa kwetu ya kipatikana bei haitashuka kama unavyo jua viongozi wetu wanatumia rasilimali zetu kujitajirisha, kama alivyo sema mdau hapo juu tafuta mbinu ya kupata pesa ili uweze kumudu gharama...
Mkuu, kweli unakosa hata tsh 40,000 uwe unaweka mafuta mara moja moja kwa mwezi na kulitembelea angalau kwa siku mbili ndani ya mwezi?
Mkuu uwezo huo ulikuwepo tatizo lilijitokeza ni kwamba, majukumu yameongezeka mshahara haujaongezeka na bidhaa zimepanda sana bei. Kwa ufupi mshahara wangu umepitwa na wakati kuna kipindi nilikuwa namudu sana kuliendesha na kufanya savings na mbaya zaidi nategemea mshahara tu. Naogopa sana kumchakachua mwajiri wangu maana biblia inakataza.
sio kutapika tu ni uharo nimeckia kichefuchefu kweli
sio kutapika tu ni uharo nimeckia kichefuchefu kweli
umeona eeeh :lol::lol::lol::lol:
Mkuu uwezo huo ulikuwepo tatizo lilijitokeza ni kwamba, majukumu yameongezeka mshahara haujaongezeka na bidhaa zimepanda sana bei. Kwa ufupi mshahara wangu umepitwa na wakati kuna kipindi nilikuwa namudu sana kuliendesha na kufanya savings na mbaya zaidi nategemea mshahara tu. Naogopa sana kumchakachua mwajiri wangu maana biblia inakataza.
Suzuki escudo old model