Naomba ushauri

Sawa babu,tuassume xmume yuko innocent. Makosa aliyoyatenda mkewe yanapaswa kumzuia yeye kuhudumia watoto wake? Kama siyo kwa nini hakufanya ivo huko nyuma?kwa nini anawataka sa izi kama sio kutaka kumharibia tu mwenzie amani?

Objectionable Assumptions. Bado natetea haki za kusikilizwa huyo baba.
Hizi cross examinations, kwa sasa zina base kwenye preconceived convictions.
 
Karibu na again pole sana ndiyo maisha dada, hayana budi kuwa na misukosuko kinachotakiwa ni kusimama imara.😛ray2:
 
Objectionable Assumptions. Bado natetea haki za kusikilizwa huyo baba.
Hizi cross examinations, kwa sasa zina base kwenye preconceived convictions.

Kwa nini anaaka kusikilizwa sasa hivi? anataka kumharibia mwenzake shughuli tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…