NAOMBA USHAURI

rais wako

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
605
Reaction score
513
Habarini za muda huu ndugu jamaa na marafiki.....
Tunamshukuru Mungu tunaishi.
Ndugu zangu naomba ushauri kuhusu ni gari ipi nzuri ya kununua, nimejichanga sasa nimeona nipate usafiri hapa nina milioni 13 naomba ushauri ni gari gani inafaa iwe ni rafiki kwa mafuta na iwe inapita kwenye barabara za vijijini yaan natural road ambazo zina mabonde ya kutosha simply nataka gari ambayo iko juu bei yake isizidi milioni 13 ......
 
Msaada unahitajika hapa Msuya Jr. mpe ushauri ipi achukue.
Hivi mkuu unapoagiza gari toka Japan katika hizi km ni KM ngapi inakuwa bado ipo makini yaani minimum na maximum it means zisizidi KM kiasi fulani japo najua kuna uchezeaji wa odometer kwa wenzetu.Ahsanteh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…