rais wako
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 605
- 513
Habarini za muda huu ndugu jamaa na marafiki.....
Tunamshukuru Mungu tunaishi.
Ndugu zangu naomba ushauri kuhusu ni gari ipi nzuri ya kununua, nimejichanga sasa nimeona nipate usafiri hapa nina milioni 13 naomba ushauri ni gari gani inafaa iwe ni rafiki kwa mafuta na iwe inapita kwenye barabara za vijijini yaan natural road ambazo zina mabonde ya kutosha simply nataka gari ambayo iko juu bei yake isizidi milioni 13 ......