Naomba ushauri.

Naomba ushauri.

isaiah john

New Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
4
Reaction score
1
Wiki iliyopita nikiwa kazini ghafla nikawa naishiwa nguvu hasa za miguu, nikaenda kuchek maleria na typhod nikaambiwa nina malaria nikapewa dozi. Baada ya kumaliza dozi hali haikua nzuri nilikaa siku moja nikarudi tena hospitali kucheki nikaambiwa nina malaria 10 , safari hii nikapewa Mseto..

Lakini Bado hali ya kuishiwa nguvu hasa miguuni, kujisikia vibaya na kuna nyakati mkono wa kushoto na miguu yote miwili hua inauma mithili ya kuwaka moto.

Alafu nikinywa maji, naenda sana kukojoa tofauti na siku za awali.

Ningependa kujua nifanyaje kwa hali hii
 
Sukari hio mkuu nenda kapime upate usahihi. Ila dalili za sukari ni kuishiwa nguvu, miguu kuwaka moto, macho kutona vema, kiu ya maji na kukujoa mara kwa mara
 
Back
Top Bottom