Naomba Ushauri

Naomba Ushauri

west ham

Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
10
Reaction score
0
Habari zenu wana jf.
Vp kuhusu biashara ya kuchakata Kokoto Dodoma kwa ajili ya ujenzi hali
kibiashara ikoje?
Mana baadhi ya Miji hii biashara imeshuka sana.Mwenye Uwelewa naomba kujuzwa.Shukran.
 
Back
Top Bottom