Hahahahaahah.....

Imebidi nicheke!!!Sasa hapo tatizo liko wapi?! Ulitaka akusave bro au shosti ?!

Atleast angesave my name lakini "Daddy"? Y?
Atleast angesave my name lakini "Daddy"? Y?

Nahisi naibiwa maana hapo

Hahahahaahah.....

Imebidi nicheke!!!Sasa hapo tatizo liko wapi?! Ulitaka akusave bro au shosti ?!
Nahisi naibiwa maana hapo
Mbona thimpo!! na ww msave "mammy" kwnye cmu yako. ngoma drooNina girlfriend wangu ambaye nimekuwanaye kwa miaka mitatu sasa.na tumeishi muda wote kwa upendo.jana alikuja kunitembelea,wakati wa maongezi na stori za hapa na pale ndipo nikashka simu yake ili kutaka kujua amenisave jina gani.nikakuta kanisave "Daddy"sikumwambia chochote nikamrudishia simu yake.naomba mnishauri nifanyeje?

mimi niliwahi kukuta nimeseviwa kwa jina hili..

UGONJWA WA MOYO....

nilikosa hata nguvu za kuuliza....

alitaka uitwe baby na ndevu zote hizo,pole bwana