Jeruh
Member
- Aug 8, 2011
- 77
- 6
Nina girlfriend wangu ambaye nimekuwanaye kwa miaka mitatu sasa.na tumeishi muda wote kwa upendo.jana alikuja kunitembelea,wakati wa maongezi na stori za hapa na pale ndipo nikashka simu yake ili kutaka kujua amenisave jina gani.nikakuta kanisave "Daddy"sikumwambia chochote nikamrudishia simu yake.naomba mnishauri nifanyeje?