mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 824
- 650
Alijuambona umempiga fund nae picha ? umajua kama alitaka apigwe picha ?
Nashukuru Sana!andika hata jina la stendi tu usipende kujichnganya na mambo yasiyo na msingi kivile katika biashara, jina lolote hata lako mwenyewe linatosha . ww jikite katika huduma nzuri na bei rafki katika huduma zako hutojutia lolote mkuu.
Safi sana..nmekupa pongezi kwa Kitendo Tu cha kuzingatia " Jina "Wana bodi habari za muda huu! Nashukuru Mungu nimejichanga na kufanikiwa kupata kafrem ktk eneo la stend kuu.
Lengo kuu ni kufungua stationary! Nimekuja kwenu ili mnisaidie kupendekeza jina zuri lenye mvuto kibiashara.
Natanguliza shukrani, nasubiria mapendekezo yenu kwa hamu kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Tatizo majina hayo hayatazamwi vzr na jamii ingawa ni majina mazuri.Corona stationary, kwa kuwa umefungua kipind hiki la janga, amini nakwambia utakuwa maarufu stationary yako,maana jina linatamkika, au pia unaweza it's boniphace MWAMPOSA stationary.
Aamin!Kuchagua jina kuna maana kubwa sana kibiashara hasa ukiwa una mipango endelevu.
Chagua jina moja ambalo hata ukifungua ofisi zingine utatumia.
Mfano muuza kuku stationery, baadae ukafungua cleaning service ukaandika jina muuza kuku cleaning service.
Na ndo maana kuna kusajili jina la biashara BRELA.
Maana hawakawii wapenda mteremko umetumia nguvu nyingi na mida kusimamisha jina wao wakalitumia kwa manufaa yao.