mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 824
- 650
Wana bodi habari za muda huu!
Nashukuru Mungu nimejichanga na kufanikiwa kupata kafrem ktk eneo la stend kuu.
Lengo kuu ni kufungua stationary! Nimekuja kwenu ili mnisaidie kupendekeza jina zuri lenye mvuto kibiashara.
Natanguliza shukrani, nasubiria mapendekezo yenu kwa hamu kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app