mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 824
- 650
- Thread starter
-
- #21
Thanx 4good advice!Safi sana..nmekupa pongezi kwa Kitendo Tu cha kuzingatia " Jina "
"Uaminifu"...
" Chapuchapu"
"What is yours will always be yours no matter what "
Nipe faida na hasara za kusajili jina Brela! Bado mgeni na mambo ya brela.
Ahsante Sana!Kuchagua jina kuna maana kubwa sana kibiashara hasa ukiwa una mipango endelevu.
Chagua jina moja ambalo hata ukifungua ofisi zingine utatumia.
Mfano muuza kuku stationery, baadae ukafungua cleaning service ukaandika jina muuza kuku cleaning service.
Na ndo maana kuna kusajili jina la biashara BRELA.
Maana hawakawii wapenda mteremko umetumia nguvu nyingi na mida kusimamisha jina wao wakalitumia kwa manufaa yao.
Ahsante Sana!Safi sana..nmekupa pongezi kwa Kitendo Tu cha kuzingatia " Jina "
"Uaminifu"...
" Chapuchapu"
"What is yours will always be yours no matter what "
Ahsante lkn Naomba nisaidie maana ya jina hili.JIWE JUU YA MAWE STATIONERY.
Hasara hamna iko faida tu.Nipe faida na hasara za kusajili jina Brela! Bado mgeni na mambo ya brela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Depal@ nipe hizo faida basi walau kwa uchache! Mm bado mbu mbu mbu ktk hilo la brela.Hasara hamna iko faida tu.
Brela kule utasajili jina la kampuni yako (hiyo stationary in case ktk siku za usoni jina likawa famous asitokee mtu akalicopy. Na hata akicopy ww utaweza kumshtaki sbb usajili wako utakuwepo Brela.Depal@ nipe hizo faida basi walau kwa uchache! Mm bado mbu mbu mbu ktk hilo la brela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante Sana!Brela kule utasajili jina la kampuni yako (hiyo stationary in case ktk siku za usoni jina likawa famous asitokee mtu akalicopy. Na hata akicopy ww utaweza kumshtaki sbb usajili wako utakuwepo Brela.
Halafu mfano jina utakaloweka stationary, labda ikatokea mfuga kuku umeanzisha hudumu ya Ku deliver kuku let's say utatumia jina lako ilo ilo ulilokwisha sajili brela