Naomba ushauri

Naomba ushauri

Kuchagua jina kuna maana kubwa sana kibiashara hasa ukiwa una mipango endelevu.
Chagua jina moja ambalo hata ukifungua ofisi zingine utatumia.
Mfano muuza kuku stationery, baadae ukafungua cleaning service ukaandika jina muuza kuku cleaning service.
Na ndo maana kuna kusajili jina la biashara BRELA.
Maana hawakawii wapenda mteremko umetumia nguvu nyingi na mida kusimamisha jina wao wakalitumia kwa manufaa yao.
Ahsante Sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Depal@ nipe hizo faida basi walau kwa uchache! Mm bado mbu mbu mbu ktk hilo la brela.

Sent using Jamii Forums mobile app
Brela kule utasajili jina la kampuni yako (hiyo stationary in case ktk siku za usoni jina likawa famous asitokee mtu akalicopy. Na hata akicopy ww utaweza kumshtaki sbb usajili wako utakuwepo Brela.

Halafu mfano jina utakaloweka stationary, labda ikatokea mfuga kuku umeanzisha hudumu ya Ku deliver kuku let's say utatumia jina lako ilo ilo ulilokwisha sajili brela
 
Back
Top Bottom