Naomba ushauri

Hivi unatakiwa kutajirika ukiwa na miaka mingapi?
Mbona kama naona gari ishaniacha 🥺🥺🥺

Kutajirika
Kufanikiwa
Kujipata.
Kujitambua
Kujitafuta.


Anza na kujitambua , ukiivuka hii stage utafata huu muongozo
Kujitafuta
Kujipata
Kufanikiwa
Kutajirika
Kulinda utajiri wako.

Umri -sahihi wa kufanikiwa haupo Ila kuna nykati na majira ya kufanikiwa na kutajirika.

Nyakati na majira ya kufanikiwa na kutajirika ni kipindi Una utajiri wa Afya ya mwili na AKILI , utajiri wa kiroho, utajiri wa maarifa .

.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…