Inapata mwezi mmoja sasa nashindwa kumridhisha mpenzi wangu nimekuwa nikijiuliza sana maswali bila mafanikio..sasa leo nimeona bora ilitatizo langu nilitafutie ufumbuzi kwaimani yangu hapa leo nitapata ufumbuzi wa hili tatizo langu?Naombeni ushauri wenu.
sasa nitafanya ivyo..nakubanwa au msuli kukushika wakati unapokua kwenye tendo lile kuna sababishwa na nini jamani mimi nimeshindwa kuelewa nini kina sababisha?