Naomba ushauri.

Naomba ushauri.

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Posts
4,587
Reaction score
580
Inapata mwezi mmoja sasa nashindwa kumridhisha mpenzi wangu nimekuwa nikijiuliza sana maswali bila mafanikio..sasa leo nimeona bora ilitatizo langu nilitafutie ufumbuzi kwaimani yangu hapa leo nitapata ufumbuzi wa hili tatizo langu?Naombeni ushauri wenu.
 
KUmridhisha kimapenzi au kumridhisha kwa nini?
 
Nadhani anaminisha kumridhisha kunako the 6x6, jaribu kupunguza msongo wa mawazo, fanya mazoezi ya viungo, punguza ulaji wa vyakula vyenye mafuta, muandae vema mpenzi wako, utaenjoy sorry nimejaribu kukupa kifupi sana.
 
Ndio kimapenzi,nimejaribu kufanya mazoizi,kupunguza kula hivyo vyakula vya mafuta lakini bado malalamiko yako pale pale?
 
Inapata mwezi mmoja sasa nashindwa kumridhisha mpenzi wangu nimekuwa nikijiuliza sana maswali bila mafanikio..sasa leo nimeona bora ilitatizo langu nilitafutie ufumbuzi kwaimani yangu hapa leo nitapata ufumbuzi wa hili tatizo langu?Naombeni ushauri wenu.

Kazana kula vyakula vyenye protini nyingi
 
Kazana kula vyakula vyenye protini nyingi
Sasa nitafanya ivyo..nakubanwa au msuli kukushika wakati unapokua kwenye tendo lile kuna sababishwa na nini Jamani mimi nimeshindwa kuelewa nini kina sababisha?
 
sasa nitafanya ivyo..nakubanwa au msuli kukushika wakati unapokua kwenye tendo lile kuna sababishwa na nini jamani mimi nimeshindwa kuelewa nini kina sababisha?

hilo ndio tatizo linalokusumbua, ilibidi uombe ushauri kutokana na hili. Nenda hospitali ukamuone dr.
 
Back
Top Bottom