Naomba ushauri

ni sawa kabisa miezi tisa imekamilika yaani mimba ni wiki 40 fanya hesabu haraka
 
Bora upigwe virungu utaugulia utajikusanya upya Ila sio upande huu wa kuzalishana.
Usionee huruma mwanamke.
Kuna muda nakuaga na huruma ila kwenye hili la mwanaume kukataa kulea mimba najua sio bure ana sababu za msingi ila anaweza kukaa kimya asiwe muwazi
 
Kuna muda nakuaga na huruma ila kwenye hili la mwanaume kukataa kulea mimba najua sio bure ana sababu za msingi ila anaweza kukaa kimya asiwe muwazi
Tunakoenda kitawaka Sana.
Tutauana Sana miaka hii.
Hakuna kitu sipendi Kama mtu kusingizia jambo then aje ageuze kauli.
Inatia hasira Sana.
 
Dada zako kama unao,wakimuona tu watajua au mama yako mzazi...ma aunt uwa wanajua! Nimeona hata kwenye kutafuta mtoto akipotea,hali ikiwa ngumu uwa shangazi anaitwa.
 
Kuna binti nilikutana nae kimwili 30/6/2024 amejifungua Jana 13/2/2025

Nina wasiwasi kama ni mtoto wangu, eti alitakiwa ajifungue tarehe gani na mwezi upi?
Mimba kuzaliwa kabla ya miezi 9 ya ukamilifu si yako, period
 
Jan 2-5 mwaka huu nlikuwa home Kwa wazeee sasa Kuna dogo wa kwa 'faza mdogo' kalea mimba demu alivozaa salama akamchana jamaa hili sio bao lako dogo wa Miaka 20 kapata pressure
Tunapigwa sana
 
Kuna binti nilikutana nae kimwili 30/6/2024 amejifungua Jana 13/2/2025

Nina wasiwasi kama ni mtoto wangu, eti alitakiwa ajifungue tarehe gani na mwezi upi?
Mwanangu wa kufikia alizaliwa akiwa na miezi sita tena si njiti na mim babaake nadunda tu...acheni kukataa watoto, watoto ni baraka
 
Kuna binti nilikutana nae kimwili 30/6/2024 amejifungua Jana 13/2/2025

Nina wasiwasi kama ni mtoto wangu, eti alitakiwa ajifungue tarehe gani na mwezi upi?
labda mtoto ni njiti, alitakiwa azaliwe mwezi wa 3
 
Jibu haya Maswali:

1. Kazaliwa na kg ngapi?
2. Ulilala naye siku hiyo tu?
3. Una mpango wa kumuoa?
4. Amezaliwa kakamilika?

Ukijibu nitakupa mwongozo!
 
Pata Amani na DNA. Kwa tarehe hiyo je mtoto amezaliwa mimba ikiwa around wiki 40? Kwa tarehe hiyo alipata period ya mwisho mwezi wa tano kabla ya katikati ya mwezi

Hivyo wewe kukutana nae mwezi wa sita mwishoni, mmmmmh!!! Au labda kama mtoto kazaliwa weeks kabla ya siku yake ya kuzaliwa, na pia hata period zake zili badilika.. Si ana docs za alipo kuwa anaenda clinic zizome kama ana ficha na majibu ya ultrasound etc.. Utajua tu.. Ni muda mzuri wa kubambikiwa kwa sababu aliona amekosa MP ya mwezi wa sita na akakudakaaaa
 
Mimi naona mtoto ni wako

Wanaume muendelee kujifunza,usiende kavu kwa mwanamke usiyemuamini ili kuepusha tabu kama za mleta mada,hata magonjwa pia
hata unayemuamini asiende kavu kama hana mpango wa kuzaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…