cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 325
- 1,130
- Thread starter
-
- #41
Mmmhπππ Umeniwahi mkuu ila acha na mimi nijaribu bahati yangu,
Usiishi kwa kubahatisha maisha mtoto mzuri me nipo Songea nafanya kazi halmashauri ya Songea,
Njoo tuanzishe maisha unaonekana ni binti mwenye utulivu wa kiakili.
Miss usinune,Mmmh
Umenifanya nikaiangalie nimecheka uwiiππMtu anayenielewa mimi hawezi kuchanganya hizo ID
Yangu baada ya The haina space,
Halafu angalia hata avatar ya huyo,inaonekana kabisa kua hana akili timamu.
Yani unabold hivi maandishi, labdaπ€·π½ββοΈMiss usinune,
Tuonane inbox tuyajenge tafadhali kama utaridhia,
Tutaanza na urafiki then ukihisi tunaendana tutaboresha zaidi uhusiano wetu.
Ahsante π
Ninamaanisha nilichoandika SeranYani unabold hivi maandishi, labdaπ€·π½ββοΈ
Hamko serious ktk hayo mahusiano yenu, wee permanent place ni Songea, yeye Njombe.Siwezi mfata na mimi nipo songea permanent job na ni wachumba tu hatuna ata mtoto uchumba wetu una mwaka