Swali kwako: Je,hizo siku mbili na nusu zimeishia lini? Na je,hajawahi kushika mimba hapo kabla?
Kukujibu maswali yako,ni kwamba kuna uwezekano wa kuona periods japo kidogo kidogo hata mpaka 4th month of pregnancy ingawa ni kwa wanawake wachache sana.Sasa ili kujiweka ktk upande salama,kwanza apime aone kama ameshika ujauzito,kisha aendelee kumonitor progress in case akiwa mjamzito.
Ni kawaida ukiwa kwenye MP matiti kutuna na kuuma? Fanya UPT upate uhakika ila kwa uhakika zaidi fanya hCG(human chorionic gonadotrophin), but it is also possible to conceive and experience MP with spots only lakini sio kawaida yaani almost impossible.
Sawa,ila nafikiri ni after 2wks ndo mtu akicheki atapata jibu sahihi..nashukuru kwa ushauri.
Asante kwa ushauri.