Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,411
- 4,777
Habari wana jf,
Mwanamke mwenye mzunguko wa hedhi siku 32 na akakutana kimwili na mwanamume siku ya 19-22 bila kutumia kinga halafu akapata tena periods mwezi unafwata ila siku zimepungua amebleed siku mbili na nusu na sio kawaida( siku anazoenda kawaida ni 5).
Tatizo ni kwamba matiti bado yametuna na kujaa na maumivu kwa mbali hali ambayo haikuwepo hapo awali na jambo jingine ni kwamba kuna wanawake wengine wanaweza kuconceive huku bado akaendelea kubleed.
Swali,je ni hali ambayo ni ya kawaida au kuna tatizo? Ushauri tafadhali.