Mimi ni mwanamke , nina miaka 32, nina watoto wawili. Nina Advanced Diploma ya IT. Nimemaliza katika chuo cha IIT.Nahitaji kusoma zaidi,kufikia lengo hilo nahitaji sponsor.Nimesikia WAMA wanatoa msaada wa kusomesha wanawake Tanzania. naombeni kama kuna mtu anafahamu jinsi ya kupata hiyo sponsorship anieleze.WEB yao (WAMA) Haiko clear.
Otherwise kama kuna mtu anafahamu Sponsor wengine anifahamishe tafadhali.
kuna scholarship zimetolewa na wizara ya elimu kwa wanawake 100 tanzania, cha muhimu ni kuwa na admission letter wametoa kwenye gazeti ila pia unaweza tembelea webisite yao kwa maelezo zaidi.
Umri wako umeshapita kuwa sponsored na WAMA. WAMA wana sponsor mabinti tena wa Lindi for the time being kwa elimu ya Sekondari Wewe endelea na hiyo advances diploma yako, utumikie taifa huku ukiangalia nini kifanyike. kwa wama nakushauri usipoteze muda wako, majibu niliyokupa ni tosha. Nawafahamu vizuri sana.