Lisa
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 1,549
- 1,075
Mimi ni mwanamke , nina miaka 32, nina watoto wawili. Nina Advanced Diploma ya IT. Nimemaliza katika chuo cha IIT.Nahitaji kusoma zaidi,kufikia lengo hilo nahitaji sponsor.Nimesikia WAMA wanatoa msaada wa kusomesha wanawake Tanzania. naombeni kama kuna mtu anafahamu jinsi ya kupata hiyo sponsorship anieleze.WEB yao (WAMA) Haiko clear.
Otherwise kama kuna mtu anafahamu Sponsor wengine anifahamishe tafadhali.
Otherwise kama kuna mtu anafahamu Sponsor wengine anifahamishe tafadhali.