Naomba Ushauri

SEMKUNGA

Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
63
Reaction score
5
Wana Jf! Ni miezi sita tangu nianze kupata maumivu kwenye kichwa cha uume.nimetumia dawa kwa ushauri wa daktar wakidai ni UTI Baada ya kufanya cultural sensitivity pale KCMC.dozi ya mwisho niliyotumia inaitwa clindamycn 450/7: Lakini bado napata maumivu. Nimerudi hosp Urology nikamuona daktar baada ya kumueleza historia ya ugonjwa akasema hawezi kunipa dawa hadi nipate kipimo kinaitwa DOPPLER ULTTRASOUND. Balaa lilianzia hapo nilikuta mashine ina wiki mbili haifanyi kazi hadi leo hii. Naomba ushauri na jinsi ya kupata hicho kipimo Moshi na Arusha au nitakavyosaidika.
 
Yaelezee vizuri hayo maumivu. ni ya namna gani? yalitokana na nini? au kama unaona aibu nitumie pm.
 
Yaelezee vizuri hayo maumivu. ni ya namna gani? yalitokana na nini? au kama unaona aibu nitumie pm.
mkuu ilikua baada tu ya sex. Haitoi usaha wala nn msumivu huwepo sana kama imetulia na nikimaliza kukojoa hakuna maumivu
 
mkuu ilikua baada tu ya sex. Haitoi usaha wala nn msumivu huwepo sana kama imetulia na nikimaliza kukojoa hakuna maumivu

ukimaliza kukojoa hakuna maumivu, ukimaliza kukojoa mkojo wa kawaida au bao?. tatizo hujielezi vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…