Wala usiumize kichwa chukua kigamboni. Sababu ni karibu na mji na daraja litakuwa tayari baada ya mwaka mmoja na likiwa tayari hutaweza nunua kiwanja huko maana kutakuwa kunafikika tofauti na sasa watu wanadhani ni mbali kwa vile kivuko kinasumbua. Pia vitu kama maji yapo mengi na pia mchanga na vifaa vingine vya kujengea vipo.