Naomba Ushauri

Naomba Ushauri

UNLOCK

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
268
Reaction score
37
WanaJF naombeni ushauri kuna viwanja viwili vyote vipo sawa kimoja kipo kiluvya na kingine kigamboni naomba ushauri nichukue kipi kati ya hivyo au sehemu ipi ni nzuri kwa makazi.

Ahsanteni.
 
Chukua kigamboni

Mji mpya

Miaka ijayo patakua bomba sana

Achana na kiluvya...ni mbali...hakuna mwamko na dongo la mfinyanzi zile wewe la nini??
 
Chukua kigamboni

Mji mpya

Miaka ijayo patakua bomba sana

Achana na kiluvya...ni mba



li...hakuna mwamko na dongo la mfinyanzi zile wewe la nini??


Lakini m2 wangu kigamboni yenyewe ni kuvuka dar es salaam zoo mbele kule panafaa kwel.
 
Chukua kigamboni wewe, mji ni mpya,hewa safi na daraja jipya linajengwa dk 5 tu ushafika town...
 
Wala usiumize kichwa chukua kigamboni. Sababu ni karibu na mji na daraja litakuwa tayari baada ya mwaka mmoja na likiwa tayari hutaweza nunua kiwanja huko maana kutakuwa kunafikika tofauti na sasa watu wanadhani ni mbali kwa vile kivuko kinasumbua. Pia vitu kama maji yapo mengi na pia mchanga na vifaa vingine vya kujengea vipo.
 
Back
Top Bottom