naomba ushauri

naomba ushauri

jamani mwenye namba ya simu ya NACTE wanigee kwa ninasida kubwa naomba msaada wenu
 
jinsi ya kuapply vyuo

Kwanza ukanunue vocha kwenye tawi lolote la benki ya NBC then unaenda na kadi(vocha) yako internet cafe alaf unaingia web ya tcu then fuata maelekezo jinsi ya kufungua akaunti ala kinachofuata apo ni app tu.
 
Back
Top Bottom