naomba ushirikiano wenu

naomba ushirikiano wenu

Karibu swali: kwanini umejiunga na jf ?
 
Si unajua mgeni njoo mwenyeji apone! Sasa mbona uko mikono mitupu ndo umeshamaliza zawadi zote? Karibu sana, mimi pia sio mwenyeji sana ila utawakuta wenyewe watakujulisha kona zote za jumba hili. Ukitaka tuonane uwe unakuja basi kwenye kijiwe cha mabisiness na wajasiliamali tupate tubadilishane mawazo.
 
Back
Top Bottom