HadithiZaRuvuly
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 369
- 114
Ndugu zangu mimi ni member mpya katika application hii ningependa kuomba jinsi ya kutumia kwa sababu inavitu vingi mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zangu mimi ni member mpya katika application hii ningependa kuomba jinsi ya kutumia kwa sababu inavitu vingi mno![]()
Karibu sana.Ndugu zangu mimi ni member mpya katika application hii ningependa kuomba jinsi ya kutumia kwa sababu inavitu vingi mno![]()
Ahsante kakaKaribu sana, utajifunza pole pole muhm uzingatie taratibu zote za JF
Ahsante kaka
Atupie picha nyingine !!!!Karibu sana.
Picha yako hii haionekani vizuri, unaweza kutupia nyingine??
eenh bana, kapicha kengine bana....Atupie picha nyingine !!!!
Karibu sana Great Thinker. Mtafute dada mmoja anaitwa Faiza Foxy ni mashuhuri sana humu atakupa miongozo ya ziada.Ndugu zangu mimi ni member mpya katika application hii ningependa kuomba jinsi ya kutumia kwa sababu inavitu vingi mno![]()
Hapana natoka kigomaNa ww ni mwanaume wa Dar au??
Sawa ndugu nitatupia nyingneAtupie picha nyingine !!!!
Sawa natupiaeenh bana, kapicha kengine bana....
Kweli kkaDuh! umejitahidi umetupia na picha ha ha ha wengine zoezi gumu!!
Tumefanyaje c*[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wageni wa siku hizi bwana!
Ndio maana nikauliza kaka kwahiyo linaitwa jukwaa la wanakigomaMkuu weka picha nyingine tuhamishie kwenye jukwaa la wanakigoma,kule utaona ndugu zako