Naomba ushuhuda kwa aliyewahi kutumia ebay

Naomba ushuhuda kwa aliyewahi kutumia ebay

kerai

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
222
Reaction score
150
Ndugu zanguni naomba ushauri ninashida na tablets na nimeziona ebay bei yao nzuri sana,sasa naomba mtu anipe ushuhuda juu ya uhakika na security ya my money kama nikiwatumia, mzgo ntaupata coz wameandka free shipping.

Pia hivi punde ntakuwa na tour katika nchi ya spain,germany na austria.

Naomba idea zenu juu ya electronics hasa ujeruman, bei zao vp na sehemu gani ntapata.
 
Ebay hawana shida,jiachie tu ndio ulimwengu tulio nao sasa.ila ukiweza kusubiri ukanunua kwenye hiyo tour itakuwa bira zaidi.
 
Ebay ni very safe me huwa natumia sana pia kwa upande wa germany kuna very cheap Electronics na ni za good quality. I have to ujerumani myself
 
eBay ni jembe. I buy all my electronics through eBay. It's very reliable.
 
mkuu tufft ntakuwa berlin, maeneo gan vitu km simu na tablets bei raUic coz hii ni first tym mm ntafika huko
 
commanche hivyo vifaaa wanakutumiaje
 
ndugu zanguni naomba ushauri ninashida na tablets na nimeziona ebay bei yao nzuri sana,sasa naomba mtu anipe ushuhuda juu ya uhakika na security ya my money kama nikiwatumia, mzgo ntaupata coz wameandka free shipping.
pia hv punde ntakuwa na tour katika nchi ya spain,germany,na austria.naomba idea zenu juu ya electronics hasa ujeruman,bei zao vp na sehemu gani ntapata

Dah! haya bana.. nisije kuonekana naponda.. manake ulivyomalizia inaonekana there is brgng thngs or lack of correlation..

ebay is safe, tho i cn advise, wait till ur there then u purchase physicaly!
 
Elektronik, Trends & Technik kaufen im Onlineshop von Media Markt hiyo link ni la duka very cheap in europe ipo berlin pia and then zipo karibu one mil stores mbali mbali za electronics. Inategemea unaenda lini na utashukia wapi lakini vile nijuavyo kwenye kila shopping centers kuna duka za electronics. From today kuna sale kubwa ya after chrismass utafaidi mwenyewe ukiwa huku( i say so coz i live in europe myself) ila sijawahi kufika berlin lakini nimetembea kama miji 5 hv za ujerumani kuna supermarket kama Aldi na Lidl huko utapata pia electronics za bei rahisi sana. ukiwa huko uliza wenyeji pia japo wajurumani wengi hawapendi kuongea english lakini watakusaidi ku recommend maduka. hope umenipata
 
TUFFT hata mimi nimeishi Ujerumani, Munich miaka minne na ushee. Najua Ujerumani electronics ni ghali ukilinganisha na eneo zingine.
 
Last edited by a moderator:
commanche hivyo vifaaa wanakutumiaje

Kerai,

Huwa natumia address ya jamaa yangu aliyeko America kwa bidhaa bulky. Lakini kwa bidhaa ndogo ndogo huwa natumia USPS na UPS. Ila uwe tayari kulipa kodi Posts.
 
kerai ukiwa watumia ebay, hakikisha unanunua vitu kwa seller mwenye ratings ya 5 stars au yule mwenye positive feedback ya 95% kwenda juu. Vizuri ukipitia kwenye profile yake ukaangalia waliofanya naye biashara wanasemaje.
Kuna wafanyabiashara wengi wako China huwa hawana ratings kubwa lakini pia ni wazuri.
Binafsi nimetumia ebay kwa miaka kama 6 bila kujuta. Sijawahi fikishiwa mzigo just once lakini ulikuwa wa bei ndogo. Kama dola 6 tu. Nahisi uliibiwa posta.
Ukitaka vifurushi viwahi ni vyema ukitumia njia za kutuma ambazo ni za haraka. Kama Ups express, Fedex n.k. ambazo hutegemeana na muuzaji yuko tayari ku post kwa njia gani. Epuka kutuma vifurushi kwa gharama ndogo kwani uwezekano wa kupotea huwa mkubwa. Ukisafirisha kwa njia cheapest at least iwe ni registered mail ambayo kupotea ni nadra lakini bahati mbaya huchelewa wakati mwingine hadi mwezi mzima.
Kwa wastani kila mwezi nanunua kupitia ebay mara tatu na sijawahi pata matatizo. Mara chache saaana description ilikuwa tofauti na nilichonunua japo kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom