Naomba utofauti wa maneno haya;

Naomba utofauti wa maneno haya;

Mkuu kwa huzijui sheria?
Amri ni neno Mtambuka...unamaanisha amri kutoka wapi/kwa nani? nikiliweka kingereza naweza kupata maneno yafuatayo ambayo yanatumika katika muktadha tofauti tofauti japo maana ya kiswahili itabaki kuwa ile ile Amri:

1)Command
2)Order
3)Decree
 
SHERIA NI MAAMUZI AMBAO MARA NYINGI NADHANI MNASHAURIANA KABALA YA KUANZA KUTUMIKA......AMRI NI MAAMUZI AMBAYO HAYABADIRIKI..YAWE MABAYA AU MAZURI YAKIWEKWA YAMEWEKWA. kwa mujibu wa umri mdogo
 
Back
Top Bottom