Mkuu kwa huzijui sheria?
Amri ni neno Mtambuka...unamaanisha amri kutoka wapi/kwa nani? nikiliweka kingereza naweza kupata maneno yafuatayo ambayo yanatumika katika muktadha tofauti tofauti japo maana ya kiswahili itabaki kuwa ile ile Amri:
1)Command
2)Order
3)Decree