Naomba uzoefu katika hili

zethumb

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
610
Reaction score
137
habari wana jf? naomba kusaidiwa katika hili; kazi imetangazwa kwa kiswahili je narusiwa kuomba kwa kiingereza!
 
unaweza,sababu english ndo lugha ya biashara,hakimu mkazi ni resident magistrate.
 
resident magistrate mahakama ya mwanzo? kazi ipo!
 
hapana Don nilikua puzzled na taarifa za RM kwenda PM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…