zethumb JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 610 Reaction score 137 Mar 8, 2012 #1 habari wana jf? naomba kusaidiwa katika hili; kazi imetangazwa kwa kiswahili je narusiwa kuomba kwa kiingereza!
habari wana jf? naomba kusaidiwa katika hili; kazi imetangazwa kwa kiswahili je narusiwa kuomba kwa kiingereza!
Kuku wa Kabanga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2009 Posts 807 Reaction score 368 Mar 8, 2012 #2 unaweza,sababu english ndo lugha ya biashara,hakimu mkazi ni resident magistrate.
zethumb JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 610 Reaction score 137 Mar 8, 2012 Thread starter #3 resident magistrate mahakama ya mwanzo? kazi ipo!
Kuku wa Kabanga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2009 Posts 807 Reaction score 368 Mar 8, 2012 #4 zethumb said: resident magistrate mahakama ya mwanzo? kazi ipo! Click to expand... Cjakusoma,unataka maana ya mahakama ya mwanzo? Kwa kimombo?
zethumb said: resident magistrate mahakama ya mwanzo? kazi ipo! Click to expand... Cjakusoma,unataka maana ya mahakama ya mwanzo? Kwa kimombo?
zethumb JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 610 Reaction score 137 Mar 26, 2012 Thread starter #5 hapana Don nilikua puzzled na taarifa za RM kwenda PM!