The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Wapi huko Mkuu,tujiunge?wanakuja wataalamu!Wakuu habari
Aliwahi kulima kilimo Cha bamia , naomba uzoefu
1. Mbegu nzuri yenye kukua Kwa haraka
2. Mbolea gani nzuri na dawa za kuulia wadudu
3. Upande wa sokoni
4.Kwa heka moja naweza kupata kiasi gani
Hapa, teyari Nina pump ya kumwagilia, shamba lipo , na maji Yana flow through out the year
Wapi huko Mkuu,tujiunge?wanakuja wataalamu!
Mkuu Asante Kwa kuniongezea maarifa .. lakini nasikia soko lake lipo vizuri, ila ukiwa na bamia nzuriMkuu sijawahi Lina Kwa miaka ya Hivi karibuni mara ya mwisho nililima mwaka2013.
Mbegu nzuri ni Ile fupi ya kisasa
Mbolea nzuri samadi ya ng'ombe na za kukuzia utanunua Yara winer au Can(Npk)
Soko mkuu hapo Sasa ndo panachangamoto ukweli bamia heka nzima inaweza lisha wilaya nzima au hata mbili. Jipange. Bamia huchumwa Kila baada ya siku2 mbili zikizidi ni hasara! Yaani zinakomaa labda uje uuze mbegu.
Nakushauri upande wa soko fanya research yakutosha Heka ni kubwa hasa ukilima kipindi huku bamia hulimwa popote hata majumbani tu.
Dawa sio sana tumia Sumu za kawaida tu kama Ninja,kung Fu nk mara Moja Moja dawa za kukinga na kuzuia KUVU(ukungu).
Ndio ila Kwa Hela sio mchezo mkuu lazima uwe na soko zaidi ya 1 na ya wateja wakubwa maana ndani ya siku2 unachuma zimezidi sana siku3Mkuu Asante Kwa kuniongezea maarifa .. lakini nasikia soko lake lipo vizuri, ila ukiwa na bamia nzuri