Wadau,
Nimeona akina Kitenge wakitangaza fursa ya mikopo kwa kampuni ya mitandao ya Tala. Napenda kujua kwa yeyote aliyewahi kuchukua mkopo Tala uzoefu wake ukoje, hasa kuhusu:
1. Kiwango cha mkopo: Je, ni kiwango gani mtu anaweza kuomba?
2. Riba: Riba yao imekaaje, na inalipwa vipi?
Mfano: Ikiwa utakopa milioni 1 na ulipe kwa mwaka, unalipa shilingi ngapi kwa mwezi?
Naomba uzoefu wenu ili nipate picha kamili.