Naomba Uzoefu wenu, Umekutana na rafiki yako wa kiume wa zamani, Moyo unapasuka paaaaah

  • Thread starter Thread starter LD
  • Start date Start date

mnachoreana maua na limoyo halafu unalipaka rangi na mastika juu,halafu na limkuki plus dedication song,bya whitney houston,i will always love u! Mbali sana hii kitu,duh pole LD
 
Reactions: LD
kwa kigezo kipi haudhani sio yeye? Au mwandiko wake hapa anaandika maandishi yamelalia kushoto kama wa kike?

Duh mbona unaniogopesha ni wewe nini brother. Manake maswali magumu sana. Khaa
 
mnachoreana maua na limoyo halafu unalipaka rangi na mastika juu,halafu na limkuki plus dedication song,bya whitney houston,i will always love u! Mbali sana hii kitu,duh pole LD

We acha tu....halafu mnakuja kutana wakati huu wakati ambao...
 
Duh mbona unaniogopesha ni wewe nini brother. Manake maswali magumu sana. Khaa

kwa nini unahisi mimi wakati kuna member kashakwambia ndio yeye?
 
We acha tu....halafu mnakuja kutana wakati huu wakati ambao...

ambao..... Nini?Ungemalizia labda ambao na tafuta mume wa kweli wa kuishi nae, au?
 
Reactions: LD
LD bana!!!

Funguka dogoi, funguka!!

huyu anafungukia kule!!!
wewe unafungukia huku!!!

Fungukeni vijana wangu....huu ni wakati wenu!
 
Reactions: LD
Haya binti yetu keshakuwa huyooo..tumwahishe akafundwe mambo yasije haribika.By the way mali yako adimu imeshatoboka...kama tayari shauri yako....Unajua anweza kujenga picha ya zamani akafikiri ndivyo ulivyo sasa..kumbe mwenzake umeshapita misitu na nyika
 
Reactions: LD
LD bana!!!

Funguka dogoi, funguka!!

huyu anafungukia kule!!!
wewe unafungukia huku!!!

Fungukeni vijana wangu....huu ni wakati wenu!

mshiki kule fb hakuna uhuru kama hapa jf,hawezi kufunguka kule,mwache afunguke hapa apunguze msongo.
 
mkuu ile kitu haina makombo,note hivyo mkuu,hata kama ni used vp.
 
Usimcheleweshe huyo mama, keshaingia kwenye box..., mpe kitu FASTAA....! Hii thread ingekaa level kama ungetupa data baada ya matokeo ya game. Ila kwenye game usiwe bubu tena, alafu kesho unakuja na thread ya maumivu...! Kumbuka sana yale mambo yenu ya "aaah.., nakufa jamani taaamuuu". Bila hivyo mama, ujue itakula kwako hiyo, si unajua wabongo wenzako walisha mdaka huyo..!?
 
Reactions: LD
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…