Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,067
- 4,434
Mmmh hujaelewa vizuri.....urafiki ulianzia mbali kaka/dada, yani kwa kuwa tu nilikuwa na roho mtakatifu na niliamua kuwa mtawa wa kujitegemea, Ukaishia kwenye makaratasi hadi tulipomaliza sekondari...yeye akakwe pipa. Mie nikabaki bongo. Sasa ndio tumeonana tena. Tunakumbuka tulivyokuwa tunaandikia na kuchoroeana maua. Sasa si tumeshakuwa wakubwa. he......MOyo unanipasuka
mnachoreana maua na limoyo halafu unalipaka rangi na mastika juu,halafu na limkuki plus dedication song,bya whitney houston,i will always love u! Mbali sana hii kitu,duh pole LD