Naomba video ya 'Napambana' ya Zuchu ifungiwe na BASATA

Habari zenu

Zuchu zuchu zuchu nimekuita mara tatu kwanza naomba kupongeza content nzuri ya nyimbo ambayo inawapa hamasa ya kutafuta mafanikio kwa vijana wote kike/kiume hongera.

Kwa bahati mbaya nyimbo yako imeitia dosari kwenye video kwa kuhamasisha umalaya kwa kupambana kwako hatuwezi kuwa na jamii mbovu mnayoijenga huku mkifaidika.

Maombi kwa BASATA nyimbo ifungiwe.

Full stop.

---

"Mwanamke asiye na akili kinachoumia ni sehemu zake za siri" -
 
Habari zenu

Zuchu zuchu zuchu nimekuita mara tatu kwanza naomba kupongeza content nzuri ya nyimbo ambayo inawapa hamasa ya kutafuta mafanikio kwa vijana wote kike/kiume hongera.

Kwa bahati mbaya nyimbo yako imeitia dosari kwenye video kwa kuhamasisha umalaya kwa kupambana kwako hatuwezi kuwa na jamii mbovu mnayoijenga huku mkifaidika.

Maombi kwa BASATA nyimbo ifungiwe.

Full stop.

---
Nyimbo nyingi za vijana wa siku hizi ni matusi, kuhamasisha ngono na ulevi.

Vv
 
Back
Top Bottom